Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo pamoja na mambo mengine kama ligi kuu ya soka nchini Uganda, tunaangazia kuanza kwa michuano ya soka ya COSAFA baina ya Mataifa ya Kusini mwa Afrika hususan ...
Mchuano wa kwanza wa nusu fainali za Kombe la Mabingwa barani Ulaya kati ya Juventus ya Italia na Real Madrid ya Uhispania umechezwa Jumanne usiku wiki hii.
Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo tunachambua michuano ya soka ya Afrika Mashariki na Kati ya CECAFA ya mwaka huu lakini pia droo ya nusu fainali ya michuano ya soka ya klabu bingwa barani Ulaya ...
Klabu ya Barcelona ya Uhispani na Juventus ya Italia ni vilabu vya mwisho kufuzu katika robo fainali ya michuano ya kuwani ubingwa wa klabu bingwa barani Ulaya UEFA.
Kikubwa kitakachokumbukwa mwaka huu unaokamilika ni michuano ya soka ya kombe la dunia iliyofanyika nchini Brazil kati ya tarehe 12 mwezi Juni hadi tarehe 13 mwezi Julai.
Taarifa hii imekua ikisubiriwa tangu majuma kadhaa yaliyopita. Kwa sasa taarifa hiyo imekua rasmi: Thierry Henry amechukua uamzi wa kustaafu katika ulimwengu wa soka.
No comments:
Post a Comment