Tanzia: Mama mzazi wa Dogo Aslay afariki dunia
Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed amefariki leo alfajiri katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam alimokuwa amelazwa.
Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa Yamoto Band, Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kuongeza kuwa, Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Temeke.
TAGS MAMA WA DOGO ASLAY
RELATED POSTS
LEAVE A COMMENT
You must be logged in to post a comment.