RIPOTI ZA MECHI ZA LIGI YA EPL JUMAMOSI

  • 12 Septemba 2015
Everton inachuana na Chelsea,Arsenal ikikabiliana na Stoke nayo Manchester United ikiialika Liverpool katika uwanja wa Old Trafford.
18.57pm:Matokeo ya mechi za ligi ya Uingereza jumamosi
Everton 3 - 1 Chelsea
Arsenal 2 - 0 Stoke
Crystal Palace 0 - 1 Man City
Norwich 3 - 1 Bournemouth
Watford 1 - 0 Swansea
West Brom 0 - 0 Southampton
18.50pm:Na mechi kati ya Arsenal na Stoke City Inakamilika hapa ikiwa Arsenal wameibuka washindi kwa mabao 2-0
18.45pm:Norwich 3 Bournemouth 1
Image copyrightGetty
Image captionOlivier Giroud
18.41pm:Goooooooal Giroud aifungia Arsenal bao la pili kufuatia mpira wa adhabu uliopigwa na Carzola dakika ya 87
18.39pm:Arsenal yafanya mabadiliko ya pili Mesut Ozil atoka Oxlaide Chamberlain aingia
18.34pm:Crystal palace 0 Manchester City 0
18.31pm:Arsenal yafanya mabadiliko .Theo Walcot atoka huku Giroud akichukua nafasi yake.
Giroud akosa bao la wazi hapa baada ya mabeki wa stoke kujikanganya
Image captionWalcot
18.17pm.Stoke City washambulia lango la Arsenal hapa huku timu ya nyumbani ikionekana kulemewa kiasi hapa..
18.03pm:kipindi cha pili cha mechi kati ya Arsenal na Stoke kimeanza
Image copyrightAP
Image captionMeneja Arsene Wenger
17.52pm.Kufikia kipindi cha kwanza
Arsena 1 - 0 stoke HT
Crystal Palace 0 - 0 Man City HT
Norwich 1 - 0 bournemouth HT
Watford 0 - 0 Swansea HT
West Brom 0 - 0 Southampton HT
17.46pm.Na Kipindi cha kwanza cha mechi kinakamilika ikiwa ni Arsenal 1 Stoke 0
17.45pm.Dakika ya mwisho ya kipindi cha kwanza lakini Ozil anashinda kutoa pasi ambayo pengine Arsenal wangeongeza hesabu ya mabao.
17.33pm.Stoke sasa yaanza kulishambulia lango la Arsenal baada ya kutumia mda mrefu wakijaribu kuwazuia washambuliaji wa Arsenal
Image copyrightAP
Image captionWalcot
17.30pm.Goooooooal Theo Walcot aiweka Arsenal Kifua Mbele hapa katika uwanja wa Emirate baada ya pasi nziri kutoka kwa Coquelin
17.27pm:Kona kuelekezwa upande wa Stoke City
5.26pm: Wachezaji waote wa Stoke wamerudi nyuma huku Arsenal ikiendelea kulishambulia lango lao
5.17pm:Arsenal 0 Stoke 0 dakika ya 17
5.08pm:Arsenal yapoteza nafasi za wazi hapa licha ya kulivamia lango la Stoke
Image copyrightepa
Image captionWalcot
5.03pm:Arsenal yaanza kwa kuivamia ngome ya Stoke na wanakosa bao la wazi hapa kupitia Walcot na Sanchez
5pm:Arsenal Vs Stoke
Mechi inaanza huku Theo Walcot akianzishwa kama mshambuliaji wa Arsenal badala ya Olivier Giroud.
Hatua hii inajiri baada ya kuifungia Uingereza mabao mawili katika mechi ya hivi karibuni.
Mechi inayofuata ni kati ya Arsenal vs Stoke City
16.38pm:Na Mechi inakamilika hapa kati ya Everton na Chelsea huku Everton ikiibuka kidedea kwa mabao 3-1 mabao yaliofungwa na mshambuliaji Steve Naismith.
16.25pm:Goooooooooal Everton yapata bao lake la tatu lililofungwa na Steve Naismith
Image copyrightGetty
Image captionMourinho
16.23pmMourinho awachwa mdomo wazi
16.14pm:Timu zote mbili zafanya mabadiliko.Arouna Kone atoka upande wa Everton 60''
16.13pm:Diego Costa awachenga walinga lango la Everton lakini apokonywa
Image copyrightGetty
Image captionEden Hazard
16.12pm:Chelsea yafanya mabadiliko.Falcao anaingia dakika ya 57
16.09pm:Wachezaji wa timu zote mbili wajitahidi kutafuta bao huku Naismith na Lukaku wakilivamia lango la Chelsea.
16.07pm:Kona kuelekezwa Everton dakika ya 52
16.03pm:Wachezaji wa Everton wanaipa Chelsea kibarua kigumu hapa dakika 49
15.50pm:-Chelsea inajaribu kutafuta bao la ukombozi.
Image copyrightPA
Image captionLukaku
15.48pm Kipindi cha pili cha mechi kati ya Everton dhidi ya Chelsea kinaanza
Everton 2 Chelsea 1
15.20pm:-Goooooooal Chelsea wapata bao la kwanza dhidi ya Everton
Image copyrightAFP
Image captionKocha wa Everton Roberto Martinez
Everton 2 Chelsea 1.Nemanja matic ndiye aliyefunga bao hili kunako dakika ya 36
15.11pm:-Everton 2 Chelsea 0
15.07pm:Goooooooal Everton yapata bao la pili dhidi ya Chelsea
Image copyrightAll Sport
Image captionSteve Naysmith
Bao lililofungwa na Steven Naismith
15.01pm: Goooaal Everton wapata bao la kwanza dhidi ya Chelsea
Steve Naismith aifungia Everton bao la kwanza
Image captionEvereton yachuana na Chelsea
14.53pm:Everton yafanya mabadiliko, Basic atoka baada ya kupata jeraha
14.52pm:-Chelsea inacheza kwa kasi ya juu hapa lakini wachezaji wa Everton wanatuliza mpira
14.50pm.-Chelsea inajaribu kuivunja ngome ya Everton kupitia Eden Hazard na Cesc Fabregas lakini walinda lango wa Everton wanakataa
14.45.pm Everto vs Chelsea
Mechi kati ya Everton dhidi ya Chelsea imeanza
Image captionAndre Berto na Mayweather
2pm:Bingwa wa ndondi katika uzani wa Welter duniani Floyd Mayweather amesisitiza kuwa pigano lake kati yake na bingwa katika uzani huo Andre Berto litamwezesha kufikia rekodi iliowekwa na Rocky Marciano ya mapigano 49 bila kushindwa.
Image copyrightReuters
Image captionSerena Williams
1.pm.Bingwa nambari moja duniani katika mchezo wa tenisi upande wa wanawake Serena William amepata pigo katika mchezo huo baada ya kushindwa na Roberta Vinci ambaye ameorodheshwa nambari 43 duniani
12.00.Mechi za siku ya jumamosi ligi ya Uingereza.
Everton v Chelsea 2:45pm
Arsenal v Stoke 5pm
Crystal Palace v Man City 5pm
Norwich v Bournemouth 5pm
Watford v Swansea 5pm
West Brom v Southampton 5pm
Man Utd v Liverpool 7:30pm