HABARI MPYA
Ijumaa, 11 Septemba 2015 22:44
Mahujaji 65 wapoteza maisha kwa kuanguka winchi Saudia + Picha
Mahujaji wasiopungua 65 wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na korongo yaani winchi katika Msikiti Mkuu wa Makka, Saudi Arabia.
Duru za Saudia zimeripoti leo kuwa, upepo mkali na kimbunga kimeliangusha chini winchi hilo. Watu wasiopungua 80 wamejeruhiwa katika ajali hiyo.
Maafisa wa Saudia wamethibitisha habari hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter.
Kuna uwezekano wahanga wa ajali hiyo wakaongezeka.

Hapa chini tumekuwekeeni baadhi ya picha za ajali hiyo mbaya
Uislamu na Mtindo wa Maisha-80
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Ni wakati mwingine wa kuwaletea sehemu nyingine ya makala ya Uislamu na Mtindo wa Maisha. Wiki …
Hadithi ya Uongofu (12)
Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami katika kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika sehemu hii …
Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …
Afya Maambukizo katika njia ya Mkojo (UTI)
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chenu chenye faida tele cha Ijue Afya Yako. Leo …
Jumamosi, 12 Septemba 2015