About Me

Sunday, 6 September 2015


Ratiba ya Mikutano ya UKAWA kuanzia Tarehe 14, May 2014 Itakayoongozwa na DR.WILBROAD SLAA, na Viongozi waandamizi wa Vyama vyote vitatu Ngazi ya Taifa....Tarehe 14/05/2014 Moshi mjini. Tarehe 15/05/2014 Babati, Manyara. Tarehe 16/05/2014 Arusha mjini. Tarehe 18/05/2014 Musoma mjini. Tarehe 19/05/2014 Tarime, Mara. Tarehe 20/05/2014 Bunda, Mara. Tarehe 21/05/2014 Biharamulo, Kagera. Tarehe 22/05/2014 Bukoba mjini. Tarehe 23/05/2014 Karagwe, Kagera. Tarehe 24/05/2014 Ngara, Kagera. Tarehe 25/05/2014 Katoro, Geita. Tarehe 26/05/2014 Geita mjini.. Source:General Mwita Waitara's facebook page! MOTO UMEWAKA, HAKUNA WA KUUZIMA, UKAWA NDIO DAWA YAO, NI LAZIMA WAIMALIZE DOZI

No comments:

Post a Comment