About Me

Wednesday 1 June 2016

Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii

THURSDAY, JUNE 2, 2016
SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV: Waziri wan chi ofisi ya waziri mkuu Sera Kazi na vijana Mh Jenista Mhagama ameelezea hatua zilizochukuliwa na serikali baada ya kutokea kwa mauaji ya Tanga;https://youtu.be/t1RJFGN-i5c

SIMU.TV: Wakazi wa kijiji cha Kibatini mkoani Tanga wameiomba serikali kuwaamisha sehemu hiyo kufuatia kutokea kwa mauaji ya watu wanane hapo jana;https://youtu.be/XM18mEXhpAU

SIMU.TV: Waziri wa Fedha na Mipango Dr Philip Mpango amesema dhamira ya serikali katika kuifikia nchi ya uchumi wa kati iko pale pale; https://youtu.be/USxb7vmvOFo

SIMU.TV: Wilaya ya Babati mjini mkoani Manyara imebaini ubadhirifu wa fedha zaidi ya shilingi bilioni 1 katika mradi wa ujenzi wa barabara; https://youtu.be/0yQl8vEq0S8

SIMU.TV: Naibu waziri wa TAMISEMI Mh Suleiman Jaffo ametoa agizo kwa wakuu wa mikoa wote wanaosuasua katika kutimiza agizo la madawati wakamilishe ndani ya wiki chache zilizosalia; https://youtu.be/tuhR75Q59L4

SIMU.TV: Kampuni ya ving’amuzi ya Startimes na Shirika la utangazaji nchini TBC imepata tuzo ya ubora wa urushaji matangazo nchini; https://youtu.be/sTEC154Da_Q

SIMU.TV: Waziri wa viwanda na biashara Zanzibar Amina Salum amewataka wafanyabiashara visiwani kutopandisha bei bidhaa kipindi cha mfungo wa ramadhani;https://youtu.be/Tt-vO-YfVzY

SIMU.TV: Mchakato wa kuzipata kampuni 100 za Tanzania zenye mtaji kuanzia bilioni 1 umeanza rasmi nchini ; https://youtu.be/F-yOYkCkGaE

SIMU.TV: DAWASCO wameendelea na operesheni ya kukata maji kwa wateja waliojiunganishia maji kinyume cha sheria na kuwachukulia hatua;https://youtu.be/g0cA551Gvmg

SIMU.TV: Baadhi ya wafanyabishara wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wamesusia kikao cha baraza la madiwani kupinga bei kubwa ya pango kwa vibanda vya biashara wilayani humo;https://youtu.be/JVfjmNKd8j8

SIMU.TV: Sakata la uchaguzi katika klabu ya Yanga limechukua sura mpya baada ya uongozi wa klabu hiyo kuibuka na kuitangaza kamati yake ya uchaguzi kinyume na ile ya TFF iliyopewa dhamana ya kuratibu uchaguzi huo ; https://youtu.be/aMHbRN8BCPE

SIMU.TV: Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imesema tatizo la kubadilishwa kwa ratiba ya ligi kuu mara kwa mara halitojirudia tena msimu ujao; https://youtu.be/jG8JGXCXv3s

SIMU.TV: Shirikisho la ngumi za kulipwa nchini PST limesema wanasubiri kupokea barua yao ya kufungiwa ili waende kukatan rufaa; https://youtu.be/0929q70gPjo

SIMU.TV: Mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Uingereza Allan Shearer amekosoa uteuzi wa kikosi cha taifa cha Uingereza kinachokwenda kushiriki michuano ya EURO nchini Ufaransa; https://youtu.be/V76lg0t5_4A

SIMU.TV: Mgogoro wa ardhi katika kijiji cha Eslalei kwenye kata ya Eslalei wilayani Monduli umeendelea kuchukua sura mpya baada ya wananchi kuitaka serikali kuwapa hati miliki ya shamba la SIMU.TV: Manyara Ranch na kusema wanashangaa wanasiasa kumhusia Lowassa kuhusika na umiliki wa shamba hilo. https://youtu.be/9OwaW_Cd7UA

SIMU.TV: Wahamiaji haramu 71  raia wa Ethiopia wamekamatwa jijini Dar es Salaam eneo la Kigamboni baada ya kupakiwa kwenye lori la migizo ili waweze kusafishwa kuelekea Afrika kusini. https://youtu.be/VNtwrJ2-AIU

SIMU.TV: Nchi mbali mbali zimekutana nchini ili kujadili masuala mbalimbali yanayohusu utawala bora  na sheria ambapo Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa mkutano huo. https://youtu.be/oINPjokGQnY

SIMU.TV: Wakazi wa Ilala Kota jijini Dar es Salaam wapo hatarini kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na mfereji wa maji taka kutiririsha maji machafu kwenye makazi ya wananchi hayo. https://youtu.be/l0W7G5ozibI

SIMU.TV: Wananchi wa kata ya Iwambala kata ya Uyole katika halmashauri ya jiji la Mbeya wamemnyang’anya mwekezaji shamba walilompa kwa ajili ya ujenzi wa shule tangu 2003 lakini mpaka sasa ameshindwa kutekeleza azma yake hiyo. https://youtu.be/WtSoYF4Xxlg

SIMU.TV: Wazee kutoka jamii ya wafugaji na wakulima katika wilaya ya Kiteto wameamua kula kiapo mbele ya viongozi wa serikali ili kumaliza mauaji na migogoro ya ardhi inayowaathiri katika wilaya hiyo. https://youtu.be/TSb702I1lSg

SIMU.TV: Jumla ya makampuni 250 ya biashara za kati yanatarajiwa kuteuliwa kwenye mchakato wa kuyapata makampuni 100 bora katika biashara za kati nchini.https://youtu.be/J0xVrnCpgd0

SIMU.TV: Licha ya tafiti nyingi kufanyika namna ya kuboresha kilimo bado magonjwa ya mazao yanaonekana kushambuli a kilimo ambapo kwa sasa bioteknolojia inaonekana kuwa njia itakayo leta mafanikio kuthibiti changamoto hio.https://youtu.be/ytfpAbtWH6M

SIMU.TV: Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa ufafanuzi wake kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi wa ngazi za juu za klabu hiyo. https://youtu.be/WEMZaC55qh0

SIMU.TV: Timu ya Mbeya city inatarajia kufanya ziara ya kimichezo katika nchi ya Malawi mabapo watacheza michezo ya kirafiki ikiwa ni njia ya kujiimarisha kwa msimu ujao wa ligi kuu. https://youtu.be/fC1ssF8ZvDg

SIMU.TV: Ukata wa fedha umekua changamoto kubwa inayoikabili michezo ya UMISETA katika mkoa wa Katavi inayohusisha halmashauri nne za mkoa huo.https://youtu.be/ui1gy09VyAI

SIMU.TV: Wasanii wa ngoma za asili mkoani Ruvuma wameiomba serikali kurudisha somo la utamaduni mashuleni ili kuweza kuwarithisha watoto utamaduni wa chimbuko lao.https://youtu.be/P__Jrz8kWhk

SIMU.TV: Wasanii mbalimbali wanatarajia kunufaika na kazi zao kutokana na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ikishirikiana na Global Publishers kuzindua huduma maalu ya kuwezesha wateja wake kupata taarifa muhimu kuhusu wasanii hao.https://youtu.be/YgzBIgmEnak

SIMU.TV: Michuano ya soka maarufu kama Ndondo cup inayodhaminiwa na tabibu Mwaka inatarajiwa kuingi katika hatua ya pili ambapo timu shiriki zimekabidhiwa vifaa vya michezo. https://youtu.be/CX5opYCVTSw

SIMU.TV: Timu ya taifa ya Ireland jana ilipata matokeo mabaya kwenye mchezo wa maandalizi ya Euro pale ilipo fungwa na timu ya taifa ya Belarus.https://youtu.be/BK9lZY8sNSQ
Posted by MICHUZI BLOG at Thursday, June 02, 2016 No comments: Links to this post  
Email This
BlogThis!
Share to Twitter
Share to Facebook
Share to Pinterest

WEDNESDAY, JUNE 1, 2016
Mama Janeth Magufuli awasili mikoa ya Lindi na Mtwara kwa ziara ya kikazi

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi akimkaribisha Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli alipofika mkoani huko kwa ajili ya Ziara ya kikazi katika mikoa ya kusini.

Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi na Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa.


Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisalimiana na kinamama waliojitokea kumpokea alipowasili Mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi akimshukuru Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli kwa kuamua kufanya ziara ya kikazi mkoani humo.

Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiongea kwa niaba ya kina mama waliojitokeza kumpokea Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli ambapo alimuahidi kuendelea kumuunga mkono kwenye shughuli zake na kumtaka kwenda mkoni humo mara kwa mara kwa ajili ya ziara za kikazi.Katikati mwenye pochi ya bluu ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa.

Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akimkabidhi zawadi ya Ungo Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi. Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa.

Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akimkabidhi zawadi ya Kitenge Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi.

Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akimkabidhi zawadi ya Kitenge Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa.

Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiwakabidhi zawadi ya mbuzi Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli (kushoto) na Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa (katikati).

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwashukuru kinamama na baadhi ya viongozi waliokuja kumpokea alipofika mkoani Lindi.

Mtoto Lulu Charles akimpa shada la maua Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli alipowasili Mkoani Mtwara.

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali waliofika kumpokea alipowasili Masasi Mkoani Mtwara.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendegu akimueleza Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli utekelezaji wa mambo mbalimbali ya maendeleo katika mkoa wake. PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
Posted by MICHUZI BLOG at Wednesday, June 01, 2016 No comments: Links to this post  
Email This
BlogThis!
Share to Twitter
Share to Facebook
Share to Pinterest

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA FAMILIA YA HENRY KIHERIRE


HENRY KIHERIRE "Rest in Peace"


Arising from communications which are currently circulating through whatsapp and other social media regarding the handling of the overall bereavement on the passing of Henry Kiherile by gun shots, the family of Henry Kiherile in Houston wishes to express the following:

(1) We wish to express once again our sincere thanks to the Tanzanian Houston community and its leadership for the overwhelming support given to us as we grieved for the loss of Henry. You mourned with us, you prayed with us, you supported us financially, and you allowed us to cry on your shoulders. We thank you so much.

(2) We acknowledge with many thanks the support and leadership we received from the Embassy of Tanzania as we grieved on the loss. The consular services we needed to facilitate transportation of the body to Tanzania were rendered promptly and we appreciate the expressions of sympathy during the entire time we worked on the consular affairs related to transporting the body home. We are particularly grateful to the Embassy for sending an embassy official, Dismas Assenga, to Houston to mourn with us and to deliver the Ambassador’s condolence message and financial contribution. We thank you so much.

(3) We wish to inform you that the family is in close communication with the Houston Police Department team working on the case. We have had several in person meetings and regular telephone communications for briefings and updates. We believe the perpetrator(s) of the crime will be brought to justice in time.

(4) We would like to state very clearly that we were very well served by all institutions and organizations that we have worked with or are working with in this matter (Houston Police Department, Embassy of Tanzania, Forest Lawn Funeral Home, Umoja Church). We feel very well served during this very difficult time for us.

(5) Last but not least, and considering all of the above, we would like to inform all of you that we do not subscribe to the view expressed in the WhatsApp communication which wishes to send out a petition seeking signatures to support a recommendation to the government of Tanzania to remove Ambassador Wilson Masilingi from serving as Ambassador of Tanzania to the United States, purportedly for “kutowajibika na kutokujali vifo viwili tofauti ndani ya mwezi mmoja mjini Texas kwa kupigwa risasi”. We have not expressed such discontent to anyone and we would like to remove any implication that because we are one of the families that lost a son so horrifically we, therefore, may have contributed to the petition idea or motivated the authors of the petition. We want Henry to rest in peace and for us to be allowed to move on.
Henry Kiherile – Rest in Peace
Arising from communications which are currently circulating through whatsapp and other social media regarding the handling of the overall bereavement on the passing of Henry Kiherile by gun shots, the family of Henry Kiherile in Houston wishes to express the following:

(1) We wish to express once again our sincere thanks to the Tanzanian Houston community and its leadership for the overwhelming support given to us as we grieved for the loss of Henry. You mourned with us, you prayed with us, you supported us financially, and you allowed us to cry on your shoulders. We thank you so much.
(2) We acknowledge with many thanks the support and leadership we received from the Embassy of Tanzania as we grieved on the loss. The consular services we needed to facilitate transportation of the body to Tanzania were rendered promptly and we appreciate the expressions of sympathy during the entire time we worked on the consular affairs related to transporting the body home. We are particularly grateful to the Embassy for sending an embassy official, Dismas Assenga, to Houston to mourn with us and to deliver the Ambassador’s condolence message and financial contribution. We thank you so much.

(3) We wish to inform you that the family is in close communication with the Houston Police Department team working on the case. We have had several in person meetings and regular telephone communications for briefings and updates. We believe the perpetrator(s) of the crime will be brought to justice in time.

(4) We would like to state very clearly that we were very well served by all institutions and organizations that we have worked with or are working with in this matter (Houston Police Department, Embassy of Tanzania, Forest Lawn Funeral Home, Umoja Church). We feel very well served during this very difficult time for us.

(5) Last but not least, and considering all of the above, we would like to inform all of you that we do not subscribe to the view expressed in the WhatsApp communication which wishes to send out a petition seeking signatures to support a recommendation to the government of Tanzania to remove Ambassador Wilson Masilingi from serving as Ambassador of Tanzania to the United States, purportedly for “kutowajibika na kutokujali vifo viwili tofauti ndani ya mwezi mmoja mjini Texas kwa kupigwa risasi”. We have not expressed such discontent to anyone and we would like to remove any implication that because we are one of the families that lost a son so horrifically we, therefore, may have contributed to the petition idea or motivated the authors of the petition.

We want Henry to rest in peace and for us to be allowed to move on.

Should you have any questions or concerns please contact;

Mr. Mathew Mohono -
281-804-6478

Dr. Lenard Tenende - 713-540-6355
Posted by MICHUZI BLOG at Wednesday, June 01, 2016 No comments: Links to this post  
Email This
BlogThis!
Share to Twitter
Share to Facebook
Share to Pinterest

Agility Launches 2nd Annual Modern Africa Photo Competition: Pan-Africa Contest Seeks to Capture Fast-Changing Cities, Industry, Technology

DUBAI, UAE, June 1, 2016/ -- Agility (http://www.Agility.com/africa), a global leader in integrated logistics, today launched its Africa 2016 Photo Competition (www.Africa-2016.com), an effort to inspire and showcase images that illustrate the breathtaking pace of change across modern Africa.

The annual contest, now in its second year, is the first pan-Africa photography competition to focus on Africa’s rapid modernization. It is open to professional and amateur photographers alike.
The competition seeks to highlight the progress and development on a continent of contrasts, documenting an Africa booming with youthful consumers, new technology, urbanizing populations and promising economic prospects.
“Africa’s modern spirit and rapid evolution are obvious to those of us doing business there every day,” says Geoffrey White, CEO of Agility Africa. “It’s important for the rest of the world to recognize the drive, ambition and creativity powering development across the continent. The Africa 2016 Photo Competition is one way we can bring attention to it.”
The competition will take place from June 1 to Sept. 1, 2016. Agility will award a US$2,000 cash prize to the winner of each of three categories: cities, industry and technology. A further US$2,000 grand cash prize will go to the photographer who shoots the overall winning image, deemed to best illustrate development and growth across Africa; giving photographers a chance to win up to $4,000.
The winning photographs will be shown on a CNBC Africa telecast and published in Forbes Africa and be featured in Agility social media, promotions and advertising.
The competition will be judged by an independent panel consisting of Sneha Shah, Managing Director, Thomson Reuters Africa; Bronwyn Nielsen, Executive Director of the Africa Business News Group and Editor-in-Chief of CNBC Africa; and Salim Amin, photographer, filmmaker and chairman of Africa 24 Media and Camerapix.
The Africa 2015 Photo Competition drew 700 entries submitted by photographers in 33 countries. Winning entries were dramatic images that captured the capital city of Luanda, Angola; wheat fields in Kenya; and a child holding a smart phone in Uganda.
“Across our Africa business, we’re seeing the impact infrastructure improvements and technology are making in African life,” White says. “The contest is an engaging way for us to try to reflect the modernization we see, from sustainable farming to manufacturing to energy production. Our hope is that perceptions of Africa will become more balanced, and people elsewhere will come to see Africa as an increasingly significant contributor to the world economy.”
Agility is investing in Africa and is committed to building new logistics capacity and infrastructure to support the development of global and SME businesses across the continent. The company’s strategy also includes a strong social and environmental program, focused on education, training and health.
For more information about the competition or to learn about Africa’s growth opportunity, visit www.Africa-2016.com.
Distributed by APO (African Press Organization) on behalf of Agility.
View multimedia content
Media Contact
Laetitia Tettamanti
Weber Shandwick
+41 22 879 85 02
ltettamanti@webershandwick.com

About Agility
Agility (http://www.Agility.com/africa) brings efficiency to supply chains in some of the globe’s most challenging environments, offering unmatched personal service, a global footprint and customized capabilities in developed and developing economies alike. Agility is one of the world’s leading providers of integrated logistics. It is a publicly traded company with more than $4.3 billion in revenue and more than 22,000 employees in over 500 offices across 100 countries. Agility’s core commercial business, Global Integrated Logistics (GIL), provides supply chain solutions to meet traditional and complex customer needs. GIL offers air, ocean and road freight forwarding, warehousing, distribution, and specialized services in project logistics, fairs and events, and chemicals. Agility’s Infrastructure group of companies manages industrial real estate and offers logistics-related services, including e-government customs optimization and consulting, waste management and recycling, aviation and ground-handling services, support to governments and ministries of defense, remote infrastructure and life support.

For more information about Agility, visit www.Agility.com, or www.Agility.com/africa
Twitter: twitter.com/agility
LinkedIn: linkedin.com/company/agility
YouTube: youtube.com/user/agilitycorp
SOURCE
Agility
Multimedia content
Posted by MICHUZI BLOG at Wednesday, June 01, 2016 No comments: Links to this post  
Email This
BlogThis!
Share to Twitter
Share to Facebook
Share to Pinterest

Baada ya kumalizika kwa mradi wa SCMS, USAID yaahidi kuendelea kuisaidia Tanzania
Baada ya kufanyika nchini kwa miaka 10, mradi wa SCMS ambao ulikuwa ukisimamiwa na John Snow Incorporated (JSI) kwa ushirikiano na Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto, Shirika la Misaada la Watu wa Marekani (USAID) limeiahidi serikali ya Tanzania kuwa litaendelea kuisaidia katika misaada mbalimbali ya afya licha ya kumalizika kwa mradi huo.

Hayo yamesemwa na Naibu Mkurugenzi wa USAID nchini, Tim Donnay katika mkutano ambao ulikutanisha wadau mbalimbali wa afya ili kujadili mradi wa SCMS ambao umefikia tamati baada ya kufanyika nchini kwa miaka 10.

Bi. Donnay alisema serikali ya Marekani kupitia USAID imejipanga kuendelea kuisaidia Tanzania katika sehemu mbalimbali ambazo zinahusu Afya.

“USAID itaendelea kuisaidia Tanzania ili kuwezesha kufikiwa kwa malengo ya upatikanaji wa huduma bora wa kiafya ... kumalizika kwa mradi huu hukutafanya kusitishwa kwa huduma ambazo zinatolewa kwa sasa,” alisema Bi. Donnay.

Naibu Mkurugenzi wa USAID nchini, Tim Donnay akiwasilisha ujumbe kwa niaba ya serikali ya Marekani katika mkutano wa hitimisho wa mradi wa SCMS.

Nae mgeni rasmi katika mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dr. Mpoki Ulisubya alisema kufanyika kwa mradi huo nchini kumewezesha kusaidia kuboreshwa kwa kasi huduma za afya tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma.

“Mradi huu umetusaidia sana awali hata utolewaji wa dawa kwa waathirika wa UKIMWI ulikuwa ni laki na nusu kwa mwaka ila kwa sasa kuna upatikanaji wa dawa hadi laki nane kwa mwaka,

“Mbali na hiyo pia wametujengea maghala ambayo yanatumika kuhifadhi dawa na hata kusaidia kuweza kuwasogezea huduma wananchi ambazo awali hazikuwa zikitolewa,” alisema Ulibusya.

Na Rabi Hume.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dr. Mpoki Ulisubya akitoa neno la shukrani kwa niaba ya serikali katika mkutano wa hitimisho la mradi wa SCMS uliotolewa na USAID na kusimamiwa utekelezaji wake na John Snow Incorporated (JSI) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya. (Picha zote na Rabi Hume).

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dr. Juma Malik Akil akitoa neno la shukrani kwani niaba ya serikali ya Zanzibar baada ya kumalizika kwa mradi wa SCMS.

Mfamasia wa Serikali, Henry Irunde akielezea utaratibu wa usambazaji wa dawa nchini uliotumika wakati ambao mradi huo ulikuwa ukifanyika nchini.

Baadhi ya wadau wa sekta ya afya walioshiriki mkutano huo.



Mkurugenzi wa John Snow Incorporated (JSI), Deo Kimera akizungumzia Mradi wa SCMS.
Baadhi ya wafaidika wa mradi wa SCMS wakielezea jinsi mradi huo umeweza kuwasaidia wao binafasi na katika sehemu ambazo wanafanyia kazi.
Baadhi ya wahudhuriaji wa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere wakiwasikiliza wafaidika wa mradi wa SCMS.

Muonekano wa kazi ambazo zimefanywa na mradi wa SCMS kwa kipindi cha miaka 10 tangu ulipoanza mwaka 2005.

Baadhi ya waandaji wa mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja.
Posted by MICHUZI BLOG at Wednesday, June 01, 2016 No comments: Links to this post  
Email This
BlogThis!
Share to Twitter
Share to Facebook
Share to Pinterest

SERIKALI YATOA UFAFANUZI UBORESHAJI WA MASLAHI YA POLISI NA MAFUNZO YA JKT



 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha 34 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo mjini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ndani ya Ukumbi wa Bunge kabla ya kuanza kwa kikao cha 34 cha Mkutano wa 3 wa Bunge mjini Dodoma.


 Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari Moga iliyoko jijini Dar es salaam wakifuatilia shughuli za kikao cha 34 cha Bunge mjini Dodoma. Wanafunzi 90 wa shule hiyo wamelitembelea Bunge hilio kujifunza namna linavyoendeshwa.

 Baadhi ya Mawaziri na Wabunge wakiwa ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati wa kikao cha 34 mjini Dodoma.

 Naibu Waziri wa Malisili na Utalii Mhe. Ramo Makani akijibu maswali ya Wabunge yaliyoelekezwa kwenye wizara hiyo wakati wa kipindi cha Maswali na majibu leo, Dodoma.

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Muhagama akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa Serikali ndani ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.

 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 leo mjini Dodoma. Wizara hiyo inaliomba Bunge lipitishe kiasi cha shilingi Trilioni 8.7 kwa ajiri ya matumizi ya kawaida na matumizi mengine.

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango (kushoto) na Naibu wake Dkt. Ashatu Kijaji wakiandika maoni ya Wabunge waliokuwa wakichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara Fedha na Mipango kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 leo mjini Dodoma.

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa(kulia) akimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina nje ya Ukumbi wa Bunge leo.

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa(kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Kilolo Mhe. Venance Mwamoto nje ya Ukumbi wa Bunge, Dodoma.

 Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari Moga iliyoko jijini Dar es salaam wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kutoka ndani ya ukumbi wa Bunge kufuatilia shughuli za kikao cha 34.

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango (kushoto) akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba (kulia) kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma.

Na. Aron Msigwa- DODOMA.
SERIKALI imesema kuwa itaendelea kuboresha maslahi ya askari wa Jeshi la Polisi na kuwajengea nyumba za kisasa za kuishi ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina wakati akijibu maswali ya wabunge kuhusu mkakati wa Serikali wa kuboresha maslahi ya Askari wa Jeshi hilo kwa niaba ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Bungeni mjini Dodoma leo
Amesema kuwa Serikali katika mwaka wa fedha 2016/2017 itatekeleza Mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba za Polisi 4136 ambao utakwenda sambamba na ujenzi wa vituo vya Polisi.

Amesema Serikali imechukua hatua za haraka kulishughulikia suala la ukosefu wa nyumba za askari hao katika maeneo mbalimbali nchini ili kuimarisha ulinzi na usalama katika maeneo yenye ukosefu wa nyumba hizo.

Amelieleza Bunge kuwa Serikali imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha kuwa maslahi ya Askari Polisi yanaimarishwa ikiwemo malipo ya Posho ya pango kwa askari wasio na nyumba ambayo ni asilimia 15 ya mishahara yao ili waweze kulipia gharama hizo.

Ameongeza kuwa  askari wenye utalaam maalum wakiwemo madereva na madaktari wamekuwa wakilipwa posho ya asilimia 15 ya mishahara yao na kuongeza kuwa askari wanaoajiriwa katika ajira mpya kama madaktari wamekuwa wakilipwa mishahara sawa na madaktari wengine bila kujali vyeo vyao.

“Serikali tumefanya jitihada kubwa sana kuboresha maslahi ya askari wetu, kama Serikali tumetoa posho za nyumba, posho za utalaam maalum kwa askari wote ambayo ni asilimia 15 ya mshahara wa kila Polisi hii yote ni kuwafanya askari wetu waweze kumudu gharama za maisha” Amesisitiza Mhe. Mpina.
Ameeleza kuwa kwa askari wanaofanya kazi katika mazingira magumu wakiwemo wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wamekuwa wakipewa posho ya kufanya kazi katika mazingira magumu (Hardship allowance) kiasi cha shilingi laki moja (100,000) kila mwezi.
Mhe. Mpina amebainisha kuwa askari wote wanaohitimu mafunzo yao wamekuwa wakikatiwa Bima ya Afya kwa asilimia 100 na Serikali pamoja na udhamini wa mikopo mbalimbali katika taasisi za kifedha ili waweze kupewa mikopo na taasisi hizo.
Aidha, amesisitiza kuwa serikali imewapandishia kiwango cha Posho ya katikati ya mwezi (Ration Allowance) kutoka shilingi 180,000 za awali hadi 300,000 ambazo wanalipwa kwa sasa nchi nzima.
Katika hatua nyingine Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imetoa ufafanuzi kuhusu vijana wa kidato cha nne kutochukuliwa kujiunga na  Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi  amesema kuwa hatua ya kuwachukua vijana wote wanaomaliza kidato cha nne kwa sasa haiwezekani kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa Serikali.
Amesema kuwa uwezo wa JKT kuchukua vijana wa kujitolea kwa sasa ni 5000 hadi 7000 kwa mwaka kulingana na bajeti inayotolewa na kuongeza kuwa mpango wa Serikali ni kuendelea kutenga fedha na kujenga kambi zaidi za mafunzo ili kuwawezesha vijana wengi kujiunga  na mafunzo hayo kulingana na upatikanaji wa fedha.
Kwa upande wa wahitimu wa kidato cha sita wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria Mhe. Mwinyi amesema Serikali imewachukua vijana 14,000 na inaendelea kujenga uwezo wa ndani wa kuchukua vijana wengi zaidi.
Amesema Serikali inakusudia kujenga majengo ndani ya makambi ili kuwezesha vijana wote wanaohitimu kidato cha sita kupitia JKT kabla ya kujiunga na vyuo mbalimbali hapa nchini.
Aidha, Amefafanua kuwa kwa wale wanaojiunga na JKT kwa kujitolea ambao idadi yao inafikia 5000 sio wote wanaopata nafasi ya kuajiriwa katika vyombo vya Ulinzi na Usalama na kuongeza kuwa ni asilimia 71 ndio hupata ajira kwenye vyombo hivyo huku waliobaki wakilazimika kurudi nyumbani.
Amebainisha kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu inaangalia utaratibu wa kuwawezesha vijana hao ili wanaporudi uraiani waweze kupatiwa mitaji ya kuwawezesha kujiajiri wenyewe.

Monday 16 November 2015

Saturday 14 November 2015

challenges of enterprenuership in tanzania

Future UDSM Entrepreneurs

For students aspiring to become successfull entrepreneurs

Challenges facing entrepreneurs in Tanzania.

GROUP NAME: JASIRI
Members of the group
Sanga Rehema : I’m currently a University student taking a Bsc. in Industrial Engineering and Management. My vision is to become a successful entrepreneur in future.
Emmanuel Patrick:
A university of Dar es salaam student (2006-2010) pursuing BSc. In Industrial engineering and management. I expect to live my dreams through entrepreneurship because I believe that, success comes through infinity expectations, day dreaming and keeping an eye to the target ALWAYS
Masanche Emmanuel anythincomputer@gmail.com
3rd year computer science at university of Dar es salaam.
My vision is to have my social network www.ANYTHINCOMPUTER.ning.com be so popular that every entrepreneur can use it.
DANIEL ELIHURUMA:
3rd year computer science at university of Dar es salaam, sugumosi@yahoo.com, My dream is to be entrepreneur in software development and Network essentials.
JUSTINIAN,GODFREY
3rd year computer science at university of Dar es salaam, gmwesiga2007@yahoo.com
OBJECTIVE: To use Information and Communication Technology Industry skills for growth while being resourceful, innovative and Flexible.
TUJU SHARALI;
Hi, I am a final year student in the college of natural and applied sciences of the University of Dar es salaam, I will live my dream through own effort and struggle, thanks.
MUSHONGI, Bella (mushongi1985@yahoo.com)
Am pursuing Bachelor of commerce and management at university of Dar es salaam. my inspiration is to be a very famous and successfully entrepreneur.
Challenges facing Tanzanian Entrepreneur
Lack of capital
Many Tanzanian find it difficulty to initialize business due to lack of initial capital, capacity limit of banks to offer loans, long loan procedures to access loans from banks and lack of collaterals required to validate ones ability to apply for loans.
Lack of entrepreneurship training
Most of the experts in Tanzanian have spirits and skills in entrepreneurship but due to high costs of training materials, funds for accommodation and traveling leads inadequate training.
Lack of entrepreneurship skills
Most of Tanzanian are uneducated and they lack skills on matters relating to entrepreurship. Their involvement in entrepreneurship may lead to a lot of risks so they opt not be involved.
Poor government policy, regulations and laws
Tanzanian government does not have clear policy on supporting entrepreneurs and helping them to build their potentials.
Culture and beliefs
In Tanzania we have a mixture of several religions each with its beliefs for example if an entrepreneur decides to invest in keeping pigs it is acceptable to Muslims. These always result into a narrowed market to some business opportunities.
we belong together
jasiri group at UDSM

Monday 9 November 2015

KUFUTWA KWA TOUR KWA CHUO CHA HABARI MSJ

Chuo cha uandishi wa habari morogoro msj wamefuta safari za wanafunzi za kutoka nje ya mkoa huo na hata ndani ya mkoa huo kwa nia ya kujifunza kwa vitendo.

Friday 6 November 2015

wachezaji wa timu ya nanenane FC wakifanya mazoezikwa kujiandaa na mechi zidi ya wapinzani wao church FC